196 - Vito Vya Thamani
196 - Vito Vya Thamani "When He Cometh" 1. Kitambo Bwana yuaja, atafute kote Vito vya thamani kubwa: mali yake kuu. Kama nyota tajini vitang`aa sana, Vito vizuri kweli vyenye thamani. 2. Karibu atakusanya vito kwa ufalme, Vizuri vinavyong`aa: mali yake kuu. 3. Watoto wote wadogo wampendao Yesu, Ndiyo vito ving,vyo: mali yake kuu. (Amina)