196 - Vito Vya Thamani "When He Cometh" 1. Kitambo Bwana yuaja, atafute kote Vito vya thamani kubwa: mali yake kuu. Kama nyota tajini vitang`aa sana, Vito vizuri kweli vyenye thamani. 2. Karibu atakusanya vito kwa ufalme, Vizuri vinavyong`aa: mali yake kuu. 3. Watoto wote wadogo wampendao Yesu, Ndiyo vito ving,vyo: mali yake kuu. (Amina)
197 - Anipenda Ni Kweli "Jesus Loves Me" 1. Anipenda ni kweli: Mungu anena hili; Sisi wake watoto kutulinda si zito. Yesu Mwokozi ananipenda; Kweli hupenda, Mungu amesema. 2. Kwa kupenda akafa niokoke na kufa: Atazisafi taka sana ataniweka. 3. Anipenda kabisa; niuguapo sasa, Anitunza mbinguni niliyelala chini. 4. Kunipenda haachi tu sote hapa chini, Baada ya mashaka kwake tanipeleka (Amina)
Comments
Post a Comment